Napenda kufahamu juu ya hawa mbuzi

Nmewafuga na kuchunga sana hao mbuzi kipindi cha 2004-2008! Tulikuwa na Ranch Farm kwa walioishi Morogoro Mazimbu Campus watakuwa wanaifahamu!
Ni breed nzuri ya kisasa, maziwa nayo tumekamua sana! Wako vizuri hao wadude ila nyama yao sio tamu kama wa kienyeji!
 
hv kwann tanzania hatupo kama hawa wenzetu wakenya?..........


sisi tuna shida sana jamani
sababuy ni nyingi sana na ni nani alianzishe hilo? ila tukiamua inawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…