pastor muyamba
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 252
- 135
Tunda la tende linaongeza nguvu za kiume. Kwa matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume, mchanganyiko maalum wa tende, maziwa, asali na unga wa hiriki vinaweza kuondoa tatizo lako. Chukua kiasi cha kiganja kimoja cha tende, loweka kwenye maziwa ya mbuzi kiasi cha lita moja na yakae usiku kucha.Wakuu matunda aina ya tende yana kazi gani ?na kwa siku ngapi yana fanya kazi ,na je mazuri kuliwa yakiwa mabichi su makavu ya supermarket?juisi ya tende je iko vizuri ?
Aisee wacha bwana!! Sikulijua hilo...Kuwa makini, tende zinazotajwa kuwa na manufaa kiafya sio hizi tunazopimiwa Kariakoo! Hizi kula tu uufurahushe ulimi!
Ninasikia ni matunda yalio na uwezo wa kuongeza vichocheo vya kuwa na hamu ya mapenzi kwa wote(me/ke)Wakuu matunda aina ya tende yana kazi gani ?na kwa siku ngapi yana fanya kazi ,na je mazuri kuliwa yakiwa mabichi su makavu ya supermarket?juisi ya tende je iko vizuri ?
Nilipo maliza kusoma mtiririko wako, nimegundua...... unatamani kusikia kwamba Tende inaongeza nguvu za kiume....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Wakuu matunda aina ya tende yana kazi gani ?na kwa siku ngapi yana fanya kazi ,na je mazuri kuliwa yakiwa mabichi su makavu ya supermarket?juisi ya tende je iko vizuri ?
Aisee wacha bwana!! Sikulijua hilo... Enhhe.. hizo zenye manufaa zinapatikana wapi na zikoje mkuu
Japo mimi sio mlaji saaana wa tende. Tupambane Na hali zetu... shilole countriesKaka hizi tunazoletewa akina sie huku, zimeshafanyiwa processing viwandani na kuongezwa vikorombwezo ikiwemo sukari! Tende zinazozungumziwa kiafya, zenye nutrients halisi ni zile unprocessed ambazo huku hakuna!
Dodoma hizo hapo pichani zipo kibaoKaka hizi tunazoletewa akina sie huku, zimeshafanyiwa processing viwandani na kuongezwa vikorombwezo ikiwemo sukari! Tende zinazozungumziwa kiafya, zenye nutrients halisi ni zile unprocessed ambazo huku hakuna!
Kama zinapatikana Dom, basi hizo ndio zenyewe!Dodoma hizo hapo pichani zipo kibao