Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isangu = Makande
Sahihisho: ni masangu.
Hanaha ntihani gete...goodbye ng'wana mayu
Sijawahi kusikia "Ntogwimasangu" ila "Ntogwiisangu".
Hapo naona kuna habari za wingi na umoja.
With isangu being umoja na masangu being wingi.
Imalamaseko I denotes umoja
Maganiko ma denote wingi.
hamjambo ndg zangu watanzania. kwanza samahani kama nimeonesha ukabila.
ktk kingereza kuna compound words mf. massmedia ambapo mass lina maana yake na media kivyake lakini yakiungana inaleta maana nyingie. kwa kiswahi pia yapo mf. mwanamaji na mwanajeshi.
naomba mnitajie maneno ya kisukuma ktk mfumo wa compound words.
mf. mayu bhuko,.....mama mkwe.
kama cjaeleweka humu kuna wataam waweza boresha. amani iwe nanyi.
NIGUNANAGI BHADUGU BHANEE
Sijawahi kusikia "Ntogwimasangu" ila "Ntogwiisangu".
Hapo naona kuna habari za wingi na umoja.
With isangu being umoja na masangu being wingi.
Imalamaseko I denotes umoja
Maganiko ma denote wingi.
Kama unataka kuunda neno moja basi itakuwa 'ntogwamasangu' ikimaanisha 'mpenda makande'.
Lakini kwenye Kisukuma hakuna umoja katika neno la makande.
Makande (kwenye Kisukuma) ni mass noun/ noncount noun.
Ninaungana na wewe. Hakuna umoja wa Makende katika Kisukuma. Kuna wingi "Masangu". Na hasa kwa kuwa Masangu ni chakula kinachotokana baada na mkusanyiko wa Vyakula/nfaka mbalimbali zikipikwa pamoja Mf. Mandege (Mahindi), Nshiili (Choroko), Ng'halanga (Karanga), Ndulu (Kwa kiswahili ???), n.k. na vikorombezwo vongonevyo kutegemea na uwepo. Hakuna umoja wa makande!
Kama unataka kuunda neno moja basi itakuwa 'ntogwamasangu' ikimaanisha 'mpenda makande'.
Lakini kwenye Kisukuma hakuna umoja katika neno la makande.
Makande (kwenye Kisukuma) ni mass noun/ noncount noun.
Hilo "Ntogwiisangu" ni neno la kisukuma. Kulikkuwa na Daktari maarufu Muhimbili akiitwa Dr. Ntogwiisangu. Watoto.zake kina Makoye Ntogwiisangu na Fred "Saganda" Ntogwiisangu aliyeimba wimbo wa wimbo wa "Rafaeli" uliopata umaarufu kwa kuwa wimbo wa kwanza qa bongoflava kwa kuimbwa kwa Kiswahili cha lafudhi ya Kichagga.
Kumbuka pia Kisukuma kimegawanyika, Wanyantuzu mnaweza kuwa hamna maneno mengine yetu Wasukuma.
Sikiliza Rafaeli kwanza. Mtoto wa Kisukuma alivyofoji Uchagga mpaka unataka kuamini ni Mchagga.
https://ia600303.us.archive.org/24/items/Rafaeli/01-Raphael.mp3
Natafuta vitabu hivi, najifunza Kisukuma, lugha na tamaduni. So far nimepata Biblia ya Kisukuma online nikiisoma inaninoa msamiati wangu usipotee. Na hata kuujenga zaidi.
Here it is in PDF for the benefit of those interested.
https://ia600200.us.archive.org/2/items/rosettaproject_suk_gen-1/rosettaproject_suk_gen-1.pdf
Audio
Mamihayo ga Seba wa mhigolo, mamihayo ga mulungu.
Kisukuma Bible | Jesus gospel songs mp3 |
Kuna hadi kamusi kadhaa za Kiingereza na Kisukuma na Kiswahili na Kisukuma.
Najua wale Maryknoll Fathers walijitahidi sana katika kusaidia kutengeneza hizo kamusi.
Ila bongo ndo hivyo tena, watu wenye interest na mambo kama hayo ni wachache mno kiasi cha kupelekea kazi kama hizo mavumbi tu kwenye library za wazee wetu.
Nyani Ngabu Shetani kisukuma anaitwaje?
Kwa kweli najua jina la shetani ila sasa hivi limenitoka!
Mungu ni sebha, liwelelo (hili pia linaweza kutafsirika kama dunia/ ulimwengu...katika muktadha wa mungu ndo inakuwa kama lidunia au liulimwengu lenye nguvu juu yetu sote)