Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nasikiliza hiyo link ya audio niliyoitia hapo juu,.itbhas a gospel slant, lakini kusikia.wanaongea Kisukuma authentic tu mumenirudisha mbali sana.
If you get a min give it listen.
Najiona kama nimerudi nyumbani halafu kuna mami fulani anahubiri hivi.
Badogo bane, degelekagi....
Nimekuuliza kwa sababu nawasikiliza hawa watu wanamuita shetani "shetani".
Kitu kinachoweza kumaanisha kwamba katika kisukuma hakuna neno la shetani per se.
Kitu kinachoweza kumaanisha kwamba concept ya shetani.ni foreign kwa Wasukuma. Kwa sababu kama ingekuwa indigenous ingekuwa na an indigenous name.
Hahaaaa daaah! Hizo audio poa sana.
Halafu jamaa ana lafudhi ya Kisukuma cha Mwanza.
Mwabeja nho bhagalu na bhagika, bhacheye na bhagobhobho, hiphop na wote!
nimefurahishwa na ushirik wenu. ama kweli Jf ni kisima cha burudani, shule na kuongeza maarifa.
KOMEJAGI BHADUGU BHANE.
Agayaaa....!!!Gashi nanho uli mnhu! Nshiku jose naliganinha uli le-shinhu!:smile-big:
Yup, upo sahihi.
Ila hapo nilipopakoleza na rangi nyekundu pana utata kidogo:smile-big:.
Umenikumbusha mabli sana ....Babu yangu alikuwa anapenda sana ....Agayaaaa....! Thologo....!Agayaaa....!!!
<Mwakilyambiti >Bung'wangoko >ngakakohbwona
Karakitarisitiki...Kama wewe msukuma kweli tamka neno: CHARACTERISTIC, msukuma chapa ng'ombe hawezi tamka ilo neno.
Ninaungana na wewe. Hakuna umoja wa Makende katika Kisukuma. Kuna wingi "Masangu". Na hasa kwa kuwa Masangu ni chakula kinachotokana baada na mkusanyiko wa Vyakula/nfaka mbalimbali zikipikwa pamoja Mf. Mandege (Mahindi), Nshiili (Choroko), Ng'halanga (Karanga), Ndulu (Kwa kiswahili ???), n.k. na vikorombezwo vongonevyo kutegemea na uwepo. Hakuna umoja wa makande!
Kama wewe msukuma kweli tamka neno: CHARACTERISTIC, msukuma chapa ng'ombe hawezi tamka ilo neno.
<Mwakilyambiti >Bung'wangoko >ngakakohbwona
Nimekuuliza kwa sababu nawasikiliza hawa watu wanamuita shetani "shetani".
Kitu kinachoweza kumaanisha kwamba katika kisukuma hakuna neno la shetani per se.
Kitu kinachoweza kumaanisha kwamba concept ya shetani ni foreign kwa Wasukuma. Kwa sababu kama ingekuwa indigenous ingekuwa na an indigenous name.
karibu na Kamhanga, Kishili Kasamwa au siyo???Teh teh teh teh Bung'wangoko, ni ka kijiji flani maeneo ya kwetu
Mkuu nyamiswi naomba kurekebisha kidogo kwani unakosea namna inavyotakiwa unaiweka kwa kiswahili swahili
1. Ng'wajilyambiti
2. Bhugwangoko
3. Lyamidati
4. Nhungumalwa
5. Imalaseko
6. Imalabhupina
7. G'wamapalala
8. Gumalija
9. Bhupandagila
10. Pandagichiza
11. Gwambiti