Napenda kufahamu mtoto wa anakiwa ale chakula cha aina gani?

mwalisa jr

Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
50
Reaction score
18
Ndugu zanguni naomba msaada wa miezi sita ni vyakula gani anatakiwa ale ili aweze kukua vizuri kimwili na akili. Natanguliza shukrani ndugu zangu
 
Msaada???
Clinic hawajakwambia??
Ingia google utapata kujifunza na mengi zaidi kuhusu ukuaji wa mtoto
 
ungepata maelekezo zaidi kutoka clinic
Ila ngoja waje
 
ndugu zanguni naomba msaada wa miezi sita ni vyakula gani anatakiwa ale ili aweze kukua vizuri kimwili na akili. Natanguliza shukrani ndugu zangu
Hakikisha mama yake anakula sana well balanced diet . sio mama ale dagaa alafu mtoto umnyweshe maziwa ya ngombe utegemee awe na afya .
 
Balanced diet

Bila kusahau Starch...protein...mbogamboga... (ukimsaigia.kwa kuanzia ila asizoee vya kuponda)

Vijuisi (matunda original pulizi)
 
ndugu zanguni naomba msaada wa miezi sita ni vyakula gani anatakiwa ale ili aweze kukua vizuri kimwili na akili. Natanguliza shukrani ndugu zangu
Vyakula vyenye omega 3 kwa wingi, na vyakula vya protein na vitamins
Ni vizuri pia ukatumia supliments za asili ili kusaidia ukuaji manake ni ngum kutimiza ama kupata virutubisho vyote kutoka kwenye vyakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…