mwalisa jr
Member
- Aug 18, 2015
- 50
- 18
Ndugu zanguni naomba msaada wa miezi sita ni vyakula gani anatakiwa ale ili aweze kukua vizuri kimwili na akili. Natanguliza shukrani ndugu zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakikisha mama yake anakula sana well balanced diet . sio mama ale dagaa alafu mtoto umnyweshe maziwa ya ngombe utegemee awe na afya .ndugu zanguni naomba msaada wa miezi sita ni vyakula gani anatakiwa ale ili aweze kukua vizuri kimwili na akili. Natanguliza shukrani ndugu zangu
Vyakula vyenye omega 3 kwa wingi, na vyakula vya protein na vitaminsndugu zanguni naomba msaada wa miezi sita ni vyakula gani anatakiwa ale ili aweze kukua vizuri kimwili na akili. Natanguliza shukrani ndugu zangu