Napenda kufanya tendo la ndoa (sex) sana karibu kila siku

Napenda kufanya tendo la ndoa (sex) sana karibu kila siku

No, hyo condtional action so ushakuwa addicted unachotakiwa kufanya ni kufind kitu cha kukukeep busy
 
Naombeni mnishauri, mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 29; napenda sana kufanya mapenzi bila kupumzika karibu kila siku napata hamu. Je ina madhara kiafya.

Jaribu kwa kuanza kujipa adhabu ya kujinyima tenmdo hilo walau kwa wiki mara tatu tu,,hiyo ni addiction jaribu ku gight nayo,, sababu hali hiyo ita kuchosha na kukuzeesha mapema sana kiongozi,.
 
Jiweke busy,fanya kazi sana, utachoka sana na kulala, usikae bila kazi na acha kufikilia sana mambo hayo. Penda kusoma vitabu vitavyo kujenga kiakili, punguza kuangalia vipindi vya TV kama vya miziki, sinema hasa za mapenzi.ikishindikana mtafute mtaalamu wa saikolojia takusaidi.
 
Oooooiiooo my god pole kumbe unaumwaaa
 
Back
Top Bottom