Napenda kuifahamu Tanganyika Law Society(TLS)

Baelezeee mana leo kichefuchefu cha mimba changa kitawasumbua sana
 
Tunachosema haki imeshinda udhalimu whatever the case maybe. Cha kwanza uchaguzi umefanyika na TL ndiyo rais ataiongozaje tutakuwa kesho. Kwa sasa ni sherehe kwanza. Mengine baadaye.


Bado 2020 mtazidi kuaibika tu, hakika nawaambia ccm mtaaibika. Hizi ni dalili za mvua mmeshaona mawingu yakidondosha rasharasha sasa subiri ni mvua. Ndipo mtajua TZ sio maccm. Natamani niwatukane lkn acha nistahi ustaarabu wangu. Kila nawachukia hadi basi.
 
You are a great thinker my brother....big up
 
Note... Lissu aliwahi kutoa huduma ya kisheria bure kwa wananchi wa tarime kwa miezi minne aliwatoa gerezani wafungwa 366.
Mkuu hii kitu sijawahi sikia unaweza shuka full data hapa ili uma ufaidike
 
mpe darasa huyo mwana kwetu
tatizo wanawachukulia poa wanasheria. hawajui kuwa hata rizmoko anamsapoti lisu kwasababu kwa kudharauliwa kwa kada ya sheria kulikofanya na msukuma yule, wanasheria wanatakiwa kumtia adabu na kiboko pekee ni lisu. wanasheria wooote tz wataungana kitakuwa kitu kimoja na serikali haitakuwa inapambana na mtu mmoja bali rundo la wanasheria. hapo ndipo patakuwa patamu sana.
 
Wana Jf nataka kujua rais wa TLS ana dumu kwa miaka mingapi? Na Je muda wake ukiisha anaruhusiwa kugombea tena? Na Kama anaruhusiwa kugombea tena, anaruhusiwa kugombea mwisho awamu ngapi?
 
Mwezi mmoja tu hivyo subirini mwezi April Lisu anatoka.
 
Wana Jf nataka kujua rais wa TLS ana dumu kwa miaka mingapi? Na Je muda wake ukiisha anaruhusiwa kugombea tena? Na Kama anaruhusiwa kugombea tena, anaruhusiwa kugombea mwisho awamu ngapi?[/QUOTE
 
Lumbumba imepata kifafa kwa haya matokeo ya kushtua leo
 
miaka buku 1000 ko ni mpaka muisomeeee namba fisiemu ndo atatokaaaaa
 
Kipi wamewahi kufanyaaa Ikaonesha wao ndio Stop engine
Ndicho kinamfanya mwakyembe atishie kuifuta!
Kwa maana serikali haitaki hiyo stop engine itumike, wanatumia mitulinga ya mapolisi.
 
Wakuu habari zenu!
Hivi karibuni kumekuwa na hii kitu TLS (Tanganyika Law Society) iki-trend sana hapa nchini kwetu. Na hivi leo kulikua na uchaguzi ambapo bwana Tundu Lisu ameibuka kidedea na kuwa rais mpya wa chama hiko.

Binafsi nikiri tu wazi huko awali sikuwahi kulisikia hili neno TLS na wala sijui ni kitu gani na wanahusika na nini? Japo kwasasa nafahamu ni chama cha wanasheria. Ila bado sijatosheka.

Je hii TLS ina impact gani na nchi yetu especially kwenywe masuala ya kiutawala?

Je mh. Tundu Lisu kushinda kwake kuna advantage yeyote upinzani na tutegemee nini kutoka kwake?

Kazi gani hawa TLS wanafanya? Na kabla ya hapo kwanini ilikua haina kiki?

Rais aliepita alikua ni nani?

Naamini kuna wanasheria hapa wanaweza kunisaidia mimi pamoja na wengine wasioihafamu hii kitu TLS

Wa salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…