Napenda kuifahamu Tanganyika Law Society(TLS)

Naomba kufahamishwa ni ushawishi gani ilionao TLS serikalini hadi viongozi wa serikali kupay tension yakufatilia uchaguzi wa viongozi wake
 
Hata mimi nasubiri jibu.!!!![emoji86] [emoji86] [emoji87]
 
Washeria watanganyika mumeitendea haki tanganyika kuipa kiongozi anaeweza kuisemea tanganyika ..maana mm ninashangaa kuona tanganyika haipo na ilihali zanziba ipo
 
wanasheria ni muhimu...lakini chama chao TLS ndio hakina umuhimu wowote
 
wanasheria ni muhimu...lakini chama chao TLS ndio hakina umuhimu wowote
hakina umuhimu kwako kwasababu wewe sio mwanasheria. utakionaje cha muhimu wakati wewe sio mwanasheria na sio member? halafu pia, stolla yule rais aliyepita kabla ya huyu wa juzi, unajua alikuwa ni kada mkubwa wa ccm? mbona hamkulalamika alipokuja kada wa cdm macho yamewatoka? sasaivi wanasheria woote wamesimama pamoja, tunao uwezo hata kugoma kujitolea kuwatetea serikali ikituomba, tukabaki na biashara zetu za sheria tu, tutahudumia wale tu wanaotoa hela.hujawahi kushitakiwa ndio maana haujui umuhimu wetu. kuna siku utakuja kutulamba viatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…