bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Twende Arusha tukaanze maisha..!Safi sana, mwanaume kazi sio sura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende Arusha tukaanze maisha..!Safi sana, mwanaume kazi sio sura
Kuna offer ya Mkuranga ya sh.70,000/= kwa mwezi. Mbeya biashara zangu faida nadhani itakuwa laki moja kwa mwezi. Huko Arusha nitalipwaje?Twende Arusha tukaanze maisha..!
Arusha twende nitakulipa mimi..!Kuna offer ya Mkuranga ya sh.70,000/= kwa mwezi. Mbeya biashara zangu faida nadhani itakuwa laki moja kwa mwezi. Huko Arusha nitalipwaje?
(Natafuta patakapozidi penzie....)[emoji12]
Sh.ngapi kwa mwezi?Arusha twende nitakulipa mimi..!
Kuna kitu nitakulipa kizidi kukupa moyo wangu????Arusha twende nitakulipa mimi..!
Job zipo nyingi kutegemeana na wewe mwenyewe.vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?
nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
okay poa mkuu, Ila hizo job zaweza kuingiza sh ngapi hivi kwa mwezi!?Job zipo nyingi kutegemeana na wewe mwenyewe.
Kuhusu geto zipo za Kila bei kulingana na kipato chako na eneo utakalo.
Arusha maisha ni ghali sana.Twende Arusha tukaanze maisha..!
Kweli umevamia uzi. Nenda kwenye Matangazo madogomadogo.Nadandia post: Natafuta kiwanja mwanza. Eneo zuri lililopimwa na jiji au halimashauri usika-sio vile vilivyoipwa kwenye makazi holela-aka urasimishaji. Ukubwa from 1600sqm. Umbali not more than 20km from city centre.
Kweli umevamia uzi. Nenda kwenye Matangazo madogomadogo.Nadandia post: Natafuta kiwanja mwanza. Eneo zuri lililopimwa na jiji au halimashauri usika-sio vile vilivyoipwa kwenye makazi holela-aka urasimishaji. Ukubwa from 1600sqm. Umbali not more than 20km from city centre.
Unakupendea nini ???, Hebu funguka.mi napenda kwetu chattle
Yaaap !!!!.Mbeyaa stand up
Itakuwa bombardierUnakupendea nini ???, Hebu funguka.
BhikututamyaMbombo jilipo
Maeneo yapo huko mkolani na kishiri mengi tuNadandia post: Natafuta kiwanja mwanza. Eneo zuri lililopimwa na jiji au halimashauri usika-sio vile vilivyoipwa kwenye makazi holela-aka urasimishaji. Ukubwa from 1600sqm. Umbali not more than 20km from city centre.
Safi sana mkuu,, tena umefanya chaguo bora kabisa. Huwa nawashangaa wasomi wanaokimbilia Dar enzi hiz za Magufuri ambapo Dar ndio imeathirika sana na utawala Magufuri. Jiulize kupigwa marufuku kwa safar za nje imeathirika zaidi Mbeya au Dar? Kupungua kwa mizigo bandarini je? kitendo cha serikali kuacha kufanyia mikutano , semina na warsha mahotelini je? Mbeya imebaki kuwa kimbilio kwa vijana wengi wanaojitambua. Athar za Magufuri huku zipo lakin ni kidogo sana na ndio maana hata uchaguz mdogo wa madiwan ni Mbeya tu ndo hakukuwa na matukio ya ajabu.ndo hivo aisee sizonje anazingua ukimtegemea utakufa njaa, nikiweka mtaji wa laki NNE kwa kuuza juice, karanga,.....soda inatosha, am a man I was born to suffer, this is how I must suffer...vyeti tupa kuleee!
Ni sawa hadi chumba kizuri umeme, maji kwa elfu kumi km mbili tu kutoka barabara kuu bado vipo mfano uyole kwa mjini kati bei hzo ni sahihi.ghetto bei rahisi kinoma japo bei zinatofautiana kutegemea na location..vyumba vingi vya uswazi kodi yake ni elfu 20, 25 mpaka 30(kina umeme na maji). ukisogea katkati ya mji kidogo vinaanzia elfu 40, 50 mpaka 60( mfano mitaa ya Forest/nadhan n kutokana na eneo hili kuwa karibu na vyuo [Saut na Mzumbe]