NAPENDA KUISHI MBEYA.

Twende Arusha tukaanze maisha..!
Kuna offer ya Mkuranga ya sh.70,000/= kwa mwezi. Mbeya biashara zangu faida nadhani itakuwa laki moja kwa mwezi. Huko Arusha nitalipwaje?
(Natafuta patakapozidi penzie....)[emoji12]
 
Kuna offer ya Mkuranga ya sh.70,000/= kwa mwezi. Mbeya biashara zangu faida nadhani itakuwa laki moja kwa mwezi. Huko Arusha nitalipwaje?
(Natafuta patakapozidi penzie....)[emoji12]
Arusha twende nitakulipa mimi..!
 
Nadandia post: Natafuta kiwanja mwanza. Eneo zuri lililopimwa na jiji au halimashauri usika-sio vile vilivyoipwa kwenye makazi holela-aka urasimishaji. Ukubwa from 1600sqm. Umbali not more than 20km from city centre.
 
vipi kuhusu upatikanaji wa vibarua ( part-time jobs) vipo? VP kuhusu vyumba vya kupanga yaani geto bei gani?

nataka niende huko Mbeya nikapige job yoyote halali, sio kwa vyuma hivi kukaza. Naomba unifafanulie mkuu.
Job zipo nyingi kutegemeana na wewe mwenyewe.
Kuhusu geto zipo za Kila bei kulingana na kipato chako na eneo utakalo.
 
Job zipo nyingi kutegemeana na wewe mwenyewe.
Kuhusu geto zipo za Kila bei kulingana na kipato chako na eneo utakalo.
okay poa mkuu, Ila hizo job zaweza kuingiza sh ngapi hivi kwa mwezi!?
 
Nadandia post: Natafuta kiwanja mwanza. Eneo zuri lililopimwa na jiji au halimashauri usika-sio vile vilivyoipwa kwenye makazi holela-aka urasimishaji. Ukubwa from 1600sqm. Umbali not more than 20km from city centre.
Kweli umevamia uzi. Nenda kwenye Matangazo madogomadogo.
 
Maeneo yapo huko mkolani na kishiri mengi tu
 
ndo hivo aisee sizonje anazingua ukimtegemea utakufa njaa, nikiweka mtaji wa laki NNE kwa kuuza juice, karanga,.....soda inatosha, am a man I was born to suffer, this is how I must suffer...vyeti tupa kuleee!
Safi sana mkuu,, tena umefanya chaguo bora kabisa. Huwa nawashangaa wasomi wanaokimbilia Dar enzi hiz za Magufuri ambapo Dar ndio imeathirika sana na utawala Magufuri. Jiulize kupigwa marufuku kwa safar za nje imeathirika zaidi Mbeya au Dar? Kupungua kwa mizigo bandarini je? kitendo cha serikali kuacha kufanyia mikutano , semina na warsha mahotelini je? Mbeya imebaki kuwa kimbilio kwa vijana wengi wanaojitambua. Athar za Magufuri huku zipo lakin ni kidogo sana na ndio maana hata uchaguz mdogo wa madiwan ni Mbeya tu ndo hakukuwa na matukio ya ajabu.
 
Ni sawa hadi chumba kizuri umeme, maji kwa elfu kumi km mbili tu kutoka barabara kuu bado vipo mfano uyole kwa mjini kati bei hzo ni sahihi.
In short mawazo yako ni mazuri. Kama instagram maisha hakikisha unakoenda kutafutia chakula kisiwe bei juu utaishia kutafutia tumbo tu.
Mbeya 1500 mlo wa familia kiroho safi na change juu.
 
Huwa nasikia kutoka kwa watu wengi kuwa maisha ya MBEYA yana unafuu kulinganisha na mikoa mingine,

Mfano.
Chakula
Makazi ya kuishi
Biashara
Nguo
Na malezi mengine kwa ujumla je kuna ukweli wowote kuhusiana na hiyo. [emoji4] [emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…