Napenda kujitambulisha kama mwanachama mpya

Napenda kujitambulisha kama mwanachama mpya

Karibu sana mkuu! Unatumia kinywaji gani? Kama unagusa gusa gongo, mnazi au denge! Basi karibu huku Usambaani uje tutulize kidogo mawazo.
 
Karibu sana. Tunaomba picha yako ukisindwa sana Hata Jinsia yako

IMG_2729.jpg
 
Back
Top Bottom