Napenda kujiunga nanyi ma GT wa JF

Napenda kujiunga nanyi ma GT wa JF

Karibu sana,humu kuna wakati inabidi utegemee sana akili yako,maana wavuruga akili wapo wengi sana,wanaweza kukuchanganya hadi ukasahau kilichokuleta humu.
Huku ni kama mjini,njoo na akili zako,madaftari acha nyumbani.

Asante sana, nitazingatia yote.
Ila naona napokelewa na maswali badala ya maelekezo mpaka nimeanza kuogopa.
 
Umesema haujaweza kupiga picha....nauliza hauna fimbo ya kuipigia hiyo picha?

Umri mbona hauweki? Tuna mambo mengi ya kufanya weka umri tuwahi tuendako

Nikipata simu yenye camera nzuri nitapiga.
Bila umri sikaribishwi?
 
Back
Top Bottom