Napenda kujiunga nanyi ma GT wa JF

Napenda kujiunga nanyi ma GT wa JF

Kwanza karibu sana mrembo,ila kichwa cha habari cha uzi wako kina ukakasi kidogo.

Una uhakika humu hao ma GT humu wamo au kisa ni kaulo mbiu tu na wewe imekuvutia ?

Ila usihofu,karibu sana.
 
Karibu ayyanna
Kuna boss wetu hapa Jf anaitwa Kidukulillo yupo nje ya nchi huko
Nawasalimu.
Natumaini nami kuwa mmoja wenu katika kuendeleza JF.

Nimekuwa msomaji wa mda mrefu sasa, sina budi kujiunga nanyi kwa karibu zaidi.

Mimi ni KE kwa wale watakao ulizia KE au ME.

ASANTENI!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom