Napenda kujiunga nanyi ma GT wa JF

Napenda kujiunga nanyi ma GT wa JF

Hahaha umenfanya nicheke
Eti koloni lake


Sent using Jamii Forums mobile app

Wakati tuko chuo, first year wakija unakuta wadada wa second year wanakomaa kuwapa tahadhari juu ya wanaume wa second year na miaka ya juu.

Sasa hapo unakuta kuna mawili, either ni tahadhari ya kweli (like this one of yours) au watu wanasema mazingira ya makoloni yao kupigwa chini yakiwafata first year.
 
Back
Top Bottom