kwitandula
Member
- May 24, 2020
- 30
- 35
Asante,bei zake zipojeHublot
Tag Heur
Rolex
Mercedes-Watch
Range 460,000 to 1,500,000 na kuendelea.Asante,bei zake zipoje
Wapi nimeonesha au kusema na sifa?
Wapi nimeonesha au kusema na sifa?
Mkuu, maisha yana ngazi huwezi fahamu amefikia ngazi ya ngapi! Naimani anaweza.
Asante hii ni nzuri bei yake kiasi gani nisije pigwa na nitatofautishaje feki na originalChagua Kati ya hizo Hapo
Ipi umechaguaAsante hii ni nzuri bei yake kiasi gani nisije pigwa na nitatofautishaje feki na original
RadoIpi umechagua
Ndefu ipi mkuu?
Tupe na bei zake mkuu,,,hiyo RADO bei gani?Ndefu ipi mkuu?
Rado alfu kumi tu mkuu.Tupe na bei zake mkuu,,,hiyo RADO bei gani?