ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Mimi huwa nashangaa sana unakuta mtu kavaa Rolex unaonekana kabisa ni mdosho ila anakazana ni orijino ukimuuliza kanunua shingapi anakwambia milioni sasa jamani kuna Rolex gani ya milioni?Ni bora useme unahitaji kujua saa za kiwango kipi, cheap zitakuwa za kichina , Ila huko kwa mabeberu Kuna saa Kama F.P journe , Richard miles kwa mwaka juzi Bei zao kwa entry level model ilikuwa ni Dola 30000, na Kuna model zilikuwa zinafika Hadi million dola
Sisi tuishie tu kuvaa hizi Casio ila hizo brand za Uswizi hatuziwezi