Napenda kujua brand nzuri ya saa na bei zake

Mimi huwa nashangaa sana unakuta mtu kavaa Rolex unaonekana kabisa ni mdosho ila anakazana ni orijino ukimuuliza kanunua shingapi anakwambia milioni sasa jamani kuna Rolex gani ya milioni?

Sisi tuishie tu kuvaa hizi Casio ila hizo brand za Uswizi hatuziwezi
 

 
Poleni na majukumu,

Napenda kujua brand nzuri ya saa na bei zake especially saa za kike kama una picha unaweza share
Asanteni.
Kampuni ya Rolex au swiswatch ya Uswisi ina saa nzuri sana na kampuni zingine pia za hukohuko Switzeland, Uswisi ni nchi inayotambulika duniani kuwa ni manufacturer wa saa nzuri sana tangu enzi...ikifuatiwa na saa za Japan.
 
Kwa hiyo kutofautisha saa original na feki unaangalia bei?
 
Hahaha...yaleyale na wauzaji wa jezi za klabu za ulaya kusema wanauza jezi original kwa tsh.35k..Jezi gani original ya klabu kubwa inayouzwa kwa £10?
 
Kumbe ni fake mkuu, nikidhani ni majiwe kidogo At least ranging ya 40000+...!!
 
Rolex kibongobongo..bei kuanzia 60000 ingawa kuna za laki3 pia
 
Diesel. Bei zake original kuanzia laki 150. Kama ni kawaida kuanzia 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…