Napenda kujua hatua za kulitoa gari bandarini

Hela umezitoa wapi mwana shule ulikuwa unaangalia watoto wazuri tu

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Sasa kwa taarifa yako hawa wa hivi ndiyo matajiri mjini humu,halafu hata hawajui kuwa ni matajiri,wanaishi very simple,kuna dogo mmoja mkibosho alikuwa akidanya umachinga wa kutembeza pipi kwenye ki box miaka kadhaa iliyopita,alikuwa hajui hata A inaandikwaje,baadaye akapata kazi ya kufuta bidhaa kwenye kiduka kidogo cha kuuza simu,akajiongeza aksfungua kibanda chake kama hicho,sasa hivi ni don wa kutamanika,ana maduka,majumba,magari,na investment kibao karibu majiji yote ya tanzania,usiwadharau mkuu
 
hizo process hazikuhusu, wewe tafuta hela wape document na hela kampuni ya clearing wakukabidhi gari
Asante mkuu so na mfano nimeinunua kwa gharama ya shilingi milion 4 je iliniweze kabiziwa gari napwaswa kua ni kiasi gani mkuu
 
Labda umekosea kitu
Gari ya beyond 10yrs since date ya manufacture, inachajiwa kodi 2 yaani excise duty ya kawaida kwa kila gari (mpya or old) na pia excise duty on age (to discourage import of old vehicle to United Republic) all in all, to clear your import (any) from the port (airport au bandarini) you have to do it via a 'clearing and forwarding agent) ,this is a legal requirement. Otherwise bandarini kungekuwa kama stand ya ubungo asubuhi [emoji2]

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…