Napenda kujua hatua za kulitoa gari bandarini

Hukusomaga kabisa
Habari wakuu naombeni kuuliza je kwa mfano nikawa nimeagiza gari yangu toka nje na imefika bandali ya Dar. Vipi kuhusu ghalama na process zakulitoa gari zinakuaje?
 
Natumae ulipata muongozo na ushaagiza hilo gari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…