Napenda kujua soko la simbilisi (guinea pig)

Napenda kujua soko la simbilisi (guinea pig)

King mkucha

Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
89
Reaction score
71
Kwa yeyote anayeweza jua namna gani naweza kupata soko bora kwa ajili ya simbilisi naombeni mnisaidie na jinsi ya kupata soko hilo
downloadfile.jpeg
 
Tafuta mawasiliano kwa wingi uwezavyo za walimu wa biolojia ,hasa advance...(shule zilizo karibu nawe),

Over...
 
Nshafuga sana hao wadudu miaka ya nyuma sema sijawahi kumla hata siku moja.
 
Back
Top Bottom