Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza baada ya kutuma, ujinga mtupu.Nahisi kama kuna michezo nachezewa na hawa jamaa. Nilituma kiasi cha laki kadhaa kwa ajili ya kupata vifaranga vya kuku kama wanavyojinasibu, lakin mpaka sasa nahis nipo gizani.>Ndo niseme nimepigwa?
Pole sana mkuu, kupoteza ni sehemu moja wapo ya kujifunza, kuanzia sasa naimani huwezi kuwa mwepesi tena katika kufanya maamuzi ya kutuma pesa kwa watu usiowajua vizuriNahisi kama kuna michezo nachezewa na hawa jamaa. Nilituma kiasi cha laki kadhaa kwa ajili ya kupata vifaranga vya kuku kama wanavyojinasibu, lakin mpaka sasa nahis nipo gizani.>Ndo niseme nimepigwa?
YouTube.....brand yao KUKU VILLAGEPole sana mkuu, kupoteza ni sehemu moja wapo ya kujifunza, kuanzia sasa naimani huwezi kuwa mwepesi tena katika kufanya maamuzi ya kutuma pesa kwa watu usiowajua vizuri
Tambua tu kuwa wanaopigwa sio wewe peke yako, kwahiyo usije kujihisi labda wewe ndio kilaza kuliko wengine, hao matapeli hadi wamefkia hatua ya kutopatikana na kufuta group la WhatsApp maana yake mshapigwa wengi
ila Kwa manufaa ya wengi ingekuwa ni vizuri ungesema ulipata vipi taarifa zao, kama ni mitandaoni/kuambiwa/vipeperushi, hawa jamaa waga wanachange tu majina ila wanabaki na mbinu zile zile kwahiyo kupitia wewe unaweza kuokoa wengine
Na kama kuna watu Una wafahamu labda uliwahi kuwambia juu ya hao watu basi ni vyema ukawajuza kuwa hao watu ni matapeli kwahiyo wasitishe zoezi la kutuma pesa
Pole Sana mkuu, hao wameshatembea na pesa yako tayariNilituma mwezi ulipita tulikubaliana itakuwa ndani ya mwiki nne ambayo imeisha tarehe 1/7