Napenda kujua ukweli kuhusu kuku village

Nilituma mwezi ulipita tulikubaliana itakuwa ndani ya mwiki nne ambayo imeisha tarehe 1/7
Pole Sana kwa kuingiwa na hofu. Fedha yako iko salama haujatapeliwa.
Nitumie majina yako na pay slip WhatsApp kwenye namba 0744674406. Nishughulikie tatizo lako. Pia unapokutana na changamoto kama hii si salama sana kulalamika Jf kabla hauja lalamika kwa watu husika. Maana Jf utakutana na kukatishwa tamaa zaidi kuliko kutiwa moyo. Pia ukipata Vifaranga wako tafadhali Usiache kuja kuverify post ya maana hii ni mitandao huwa vinadumu...
 
Mtu alieandika huu Uzi, kajiunga na jf June 30 na uzi wa malalamiko juu ya wauzaji wa vifaranga wanaoitwa "kuku village farm" kaandika 3 July

ila huyu mtuhumiwa Anaenda Kwa Jina la "kuku village farm" nayeye kajiunga na jf 5 July na Leo trh 6 July kaja kumjibu mlalamikaji

Ngoja nikae paleeee niendelee kuangalia hii coincidence
 
Tuko pamoja
 
Una akili sana,
Definition ya Great thinker
[emoji122]
 
Mtu alieandika huu Uzi, kajiunga na jf June 30 na uzi wa malalamiko juu ya wauzaji wa vifaranga wanaoitwa "kuku village farm" kaandika 3 July

ila huyu mtuhumiwa Anaenda Kwa Jina la "kuku village farm" nayeye kajiunga na jf 5 July na Leo trh 6 July kaja kumjibu mlalamikaji

Ngoja nikae paleeee niendelee kuangalia hii coincidence
Mjini mipango... Bongo Kama Nigeria

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Ujinga ni ujinga tuu. Hivi kwa nini hao Kuku village kama wako serious wapokee oda watotoleshe alafu mteja alipe siku ya kupokea vifaranga? Biashara za design hii nilishakataa. Kama siwezi kulipa on cash nikapokea mzigo wangu basi mhusika asubiri nikipokea ndo nilipe. Exceptions chache zipo kama vile kuagiza gari Japan
 
Alafu mteja akighairi na washatotoresha?

Kumbuka una deal na viumbe hai na sio vifaa vya ujenzi kuwa mtu akiweka order alafu akaingia mitini unafanya kurudisha tu store na watakuja wengine kununua

Huwezi kufanya hivo kwenye biashara ya vifaranga, maana wakisha anguliwa tu kuna issue za gharama za vyakula/madawa/vifaa kwahiyo hayo yote hayawezi kufanywa kwenye kampuni ya kutotoresha

Kampuni zote kubwa na za uhakika za kutotoresha vifaranga kama Interchick,Silver land,AKM,OneOne nk ndio wanatumia utaratibu huo, unalipa Kwanza kisha unaambiwa vifaranga wako utawapata lini, kazi inabaki kwako kujiandaa na kuandaa mazingira yao

Utofauti wao ni kwamba wao ni uhakika tofauti na kampuni za vichochoroni, ukitaka vifaranga Leo ukiambiwa utawapata mwezi wa 8 trh 5 na ukaridhia basi huna budi kulipia na kukaa kusubiri vifaranga wako
 
Back
Top Bottom