Kuku Village Farm
New Member
- Jul 5, 2022
- 1
- 2
Pole Sana kwa kuingiwa na hofu. Fedha yako iko salama haujatapeliwa.Nilituma mwezi ulipita tulikubaliana itakuwa ndani ya mwiki nne ambayo imeisha tarehe 1/7
Tuko pamojaPole Sana kwa kuingiwa na hofu. Fedha yako iko salama haujatapeliwa.
Nitumie majina yako na pay slip WhatsApp kwenye namba 0744674406. Nishughulikie tatizo lako. Pia unapokutana na changamoto kama hii si salama sana kulalamika Jf kabla hauja lalamika kwa watu husika. Maana Jf utakutana na kukatishwa tamaa zaidi kuliko kutiwa moyo. Pia ukipata Vifaranga wako tafadhali Usiache kuja kuverify post ya maana hii ni mitandao huwa vinadumu...
Una akili sana,Mtu alieandika huu Uzi, kajiunga na jf June 30 na uzi wa malalamiko juu ya wauzaji wa vifaranga wanaoitwa "kuku village farm" kaandika 3 July
ila huyu mtuhumiwa Anaenda Kwa Jina la "kuku village farm" nayeye kajiunga na jf 5 July na Leo trh 6 July kaja kumjibu mlalamikaji
Ngoja nikae paleeee niendelee kuangalia hii coincidence
Mjini mipango... Bongo Kama NigeriaMtu alieandika huu Uzi, kajiunga na jf June 30 na uzi wa malalamiko juu ya wauzaji wa vifaranga wanaoitwa "kuku village farm" kaandika 3 July
ila huyu mtuhumiwa Anaenda Kwa Jina la "kuku village farm" nayeye kajiunga na jf 5 July na Leo trh 6 July kaja kumjibu mlalamikaji
Ngoja nikae paleeee niendelee kuangalia hii coincidence
Alafu mteja akighairi na washatotoresha?Ujinga ni ujinga tuu. Hivi kwa nini hao Kuku village kama wako serious wapokee oda watotoleshe alafu mteja alipe siku ya kupokea vifaranga? Biashara za design hii nilishakataa. Kama siwezi kulipa on cash nikapokea mzigo wangu basi mhusika asubiri nikipokea ndo nilipe. Exceptions chache zipo kama vile kuagiza gari Japan