Africa Tanzania JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 1,504 Reaction score 2,272 Sep 17, 2018 #1 Habari wana JF, Napenda kujua utaratibu wa kufuata kufungua kampuni ya betting kama ilivyo sportpesa, meridian na kadhalika! Utaratibu ukoje? NB: Process za brela nazijua, Tuanzie kwenye vibali, mtaji na mengineyo!
Habari wana JF, Napenda kujua utaratibu wa kufuata kufungua kampuni ya betting kama ilivyo sportpesa, meridian na kadhalika! Utaratibu ukoje? NB: Process za brela nazijua, Tuanzie kwenye vibali, mtaji na mengineyo!