Napenda kujua utaratibu wa kufuata kufungua kampuni ya betting

Napenda kujua utaratibu wa kufuata kufungua kampuni ya betting

Africa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
1,504
Reaction score
2,272
Habari wana JF,
Napenda kujua utaratibu wa kufuata kufungua kampuni ya betting kama ilivyo sportpesa, meridian na kadhalika!
Utaratibu ukoje?
NB: Process za brela nazijua,
Tuanzie kwenye vibali, mtaji na mengineyo!
 
Back
Top Bottom