MAJ Member Joined Dec 4, 2017 Posts 11 Reaction score 3 Dec 30, 2017 #1 Iv jaman tungekua tunachukua maamuzi ya kuoa au kuolewa kutokana na namba za mwisho za simu zetu... Je wewe ungekuwa unaoa au kuolewa na umri gani kutokana na namba yako ya mwisho ya simu
Iv jaman tungekua tunachukua maamuzi ya kuoa au kuolewa kutokana na namba za mwisho za simu zetu... Je wewe ungekuwa unaoa au kuolewa na umri gani kutokana na namba yako ya mwisho ya simu
MwanawaMUNGU41 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,036 Reaction score 737 Dec 30, 2017 #2 55 na 05,nyingine 11 na zingine coz nina line nyingi mkuu,ungetaja tu mtandao mmoja,coz siku hizi sidhani kama kuna mtu anatumia line moja!
55 na 05,nyingine 11 na zingine coz nina line nyingi mkuu,ungetaja tu mtandao mmoja,coz siku hizi sidhani kama kuna mtu anatumia line moja!
S Sanda-CR7 Senior Member Joined Dec 19, 2017 Posts 101 Reaction score 72 Dec 30, 2017 #3 [emoji23][emoji23][emoji23]45&56
Jiwedogo JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 2,811 Reaction score 4,097 Dec 30, 2017 #4 Hivi mwaka huu unaisha lini....[emoji15] [emoji15] Maana Duhhhh......[emoji45] [emoji45]
daisys JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 261 Reaction score 225 Dec 30, 2017 #5 90[emoji13] [emoji13] [emoji13]