Napenda kujua

Napenda kujua

MAJ

Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
11
Reaction score
3
Iv jaman tungekua tunachukua maamuzi ya kuoa au kuolewa kutokana na namba za mwisho za simu zetu... Je wewe ungekuwa unaoa au kuolewa na umri gani kutokana na namba yako ya mwisho ya simu
 
55 na 05,nyingine 11 na zingine coz nina line nyingi mkuu,ungetaja tu mtandao mmoja,coz siku hizi sidhani kama kuna mtu anatumia line moja!
 
Hivi mwaka huu unaisha lini....[emoji15] [emoji15]
Maana Duhhhh......[emoji45] [emoji45]
 
Back
Top Bottom