Napenda kumtakia kila la heri member financial services, nahisi anapitia magumu kwenye mahusiano...

Ahsante sana mkuu kwa kunitakia heri mimi pamoja na wengine wote wanaopitia situation kama yangu.nakosa hata cha kusema zaidi lakini tunamshukuru Mungu kwa yote.🙏
Hey Sweetheart,
I've been there, done that multiple times..
Hivyo naelewa vyema how broken hearts feels like, but one thing I can PROMISE you is 'Every damn little thing is going to be alright, TIME heals Mumie'..!!

utapatana na kijana mmoja mwema kutoka kwa Mungu, atakupenda, atakuheshimu na ataku 'treat' kama Malkia, Jipe muda, tulia, don't be desperate, kikubwa kwa sasa Pambania ndoto zako,

Kisha siku moja, Mungu atajibu maombi ya Kijana mmoja mtulivu kwa kumpa WEWE kama majibu na zawadi kutoka mbinguni, na ukipata hiyo bahati, Mpende, Muheshimu na Mtunuku Ufalme huyo Mume Mwema..!!

you have my Prayers FS, 🙏
 
Imenishangaza kuona wengi wanafikiria hivyo. Inaonyesha ni jinsi gani jamii yetu inaamini kila dalili yoyote ya wema ina nia tofauti na sura ya wema wenyewe ulioonekana hadharani. She is out of my league so siwezi hata kufikiria hilo. Asante...
Kwa kilugha chetu muda Kama huu ukikutana na mkubwa unamsalimia MWANDILA WAWA...

☺️😊☺️😊
 
Dear Carleen,
Thank you for your advice, i real appreciate 🙏 and am trying so hard to not be desperate, somehow I do manage ila kuna muda inanifikirisha sana, hasa nikifikiria uzazi(complications itakuwaje?).

But nashukuru sana, kwa kunipa maneno ya faraja, stay blessed 🙏
 
Mwambie abaki hilo ndiyo chaguo lake hivyo hivyo😀, abaki na kiumbe wake mkorofi😀
 
Hadi anakuruhusu kutafuta mke wa pili si anajua mume wake ni mkorofi , anataka mtu wa kushare naye shida, Sitaki mimi😀
Kaona msg yako kacheka saaana, 😂🤣

Anasema usichokijua ni usiku wa giza,
Namnukuu "njoo shost, tule raha za dunia"
Akaongeza, sio kwamba anakuitia shida la hasha, ni kwa sababu anakupenda sana ndio maana anataka kushare hizi raha na wewe.
 
Nilitaka kumuoa akanikataa kisa sina gari. Acha ateseke maana amechagua kuteseka.
 
Afu wewe ka Makavelli ni kaongo, una huo ubavu wa kumuonyesha mke conversation yako na watu wengine aah. Ukidundwa shauri yako na usinitaje😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…