Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo uko single and ready to mingleNimekuja na nimeshasema mjukuu wangu👏
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣By the way mhusika ameona and she ok with that. So you better get the f*ck out my mothef*cking way...
Wema upi wewee,fanya yako mkuuImenishangaza kuona wengi wanafikiria hivyo. Inaonyesha ni jinsi gani jamii yetu inaamini kila dalili yoyote ya wema ina nia tofauti na sura ya wema wenyewe ulioonekana hadharani. She is out of my league so siwezi hata kufikiria hilo. Asante...
Hey Sweetheart,Ahsante sana mkuu kwa kunitakia heri mimi pamoja na wengine wote wanaopitia situation kama yangu.nakosa hata cha kusema zaidi lakini tunamshukuru Mungu kwa yote.🙏
Mkuu ni siri nzito soma matatizo ya mchele mbichisasa mchele unashida gani poor
Vipi nikikwambia kufanya yangu ni pamoja na kufanya hiki nilichokifanya hapa?Wema upi wewee,fanya yako mkuu
Kwa kilugha chetu muda Kama huu ukikutana na mkubwa unamsalimia MWANDILA WAWA...Imenishangaza kuona wengi wanafikiria hivyo. Inaonyesha ni jinsi gani jamii yetu inaamini kila dalili yoyote ya wema ina nia tofauti na sura ya wema wenyewe ulioonekana hadharani. She is out of my league so siwezi hata kufikiria hilo. Asante...
Dear Carleen,Hey Sweetheart,
I've been there, done that multiple times..
Hivyo naelewa vyema how broken hearts feels like, but one thing I can PROMISE you is 'Every damn little thing is going to be alright, TIME heals Mumie'..!!
utapatana na kijana mmoja mwema kutoka kwa Mungu, atakupenda, atakuheshimu na ataku 'treat' kama Malkia, Jipe muda, tulia, don't be desperate, kikubwa kwa sasa Pambania ndoto zako,
Kisha siku moja, Mungu atajibu maombi ya Kijana mmoja mtulivu kwa kumpa WEWE kama majibu na zawadi kutoka mbinguni, na ukipata hiyo bahati, Mpende, Muheshimu na Mtunuku Ufalme huyo Mume Mwema..!!
you have my Prayers FS, 🙏
Kimsingi watanzania hatuaminiani kabisa. Ngoja mi niangalie mechi ya Man na man city. Nitakuja kusoma madongo ya wadau mechi ikishaisha...Kwa kilugha chetu muda Kama huu ukikutana na mkubwa unamsalimia MWANDILA WAWA...
☺️😊☺️😊
Unaiomba kama ilivyo, haina kuremba na mashairi mixer huruma kama starring wa movie ya kihindi.Noma sana.
Umemlipua vibaya sana lakini ndo hivyo tena, We show no mercy.
Kwani tunaiombaje kaka?
Mwambie abaki hilo ndiyo chaguo lake hivyo hivyo😀, abaki na kiumbe wake mkorofi😀Mimi ndio kiboko ya wivu, Kwani kuna mtu hapendi kupandishwa cheo.? 😂
Sasa nikuibie siri, mke wangu mwenyewe anakupenda, anasema ukikubali tu, mahari atatoa yeye.
Anahitaji msaidizi, SHUGHULI ishakuwa nzito.
Akiona hii comment yako atasikitika sana.
Sasa mie nina ukorofi gani wajameni.. 🙄Mwambie abaki hilo ndiyo chaguo lake hivyo hivyo😀, abaki na kiumbe wake mkorofi😀
Hadi anakuruhusu kutafuta mke wa pili si anajua mume wake ni mkorofi , anataka mtu wa kushare naye shida, Sitaki mimi😀Sasa mie nina ukorofi gani wajameni.. 🙄
Sijui nimpe simu uchati nae.
Kaona msg yako kacheka saaana, 😂🤣Hadi anakuruhusu kutafuta mke wa pili si anajua mume wake ni mkorofi , anataka mtu wa kushare naye shida, Sitaki mimi😀
Nilitaka kumuoa akanikataa kisa sina gari. Acha ateseke maana amechagua kuteseka.Mimi siyo mdau sana wa kuanzisha nyuzi kuhusu member humu ndani lakini leo nimejikuta tu ninyooshe mkono wangu kumtakia heri member financial services. Leo nilikuwa napita humu nikakutana na uzi wake february akiuliza na kuomba ushauri kuhusu namna ya kukabiliana na hali ya kufikisha miaka 30 bila kuwa na familia. Nilijisikia kuguswa maana mara kadhaa nimekutana na nyuzi zake akieleza changamoto mbalimbali anazopitia kwenye mahusiano. Hata akichangia kwenye nyuzi nyingine zinazohusu mahusiano, comments zake zinaonekana kama ni mtu aliyekata tamaa but bado anamiini pengine kutakuwa na chance nyingine ya yeye kuufurahia ulimwengu huo.
Siyo rafiki yangu, but mara chache chache huwa najaribu kufanya naye mazungumzo kwenye nyuzi za watu just kujaribu kufanya ajisikie poa. Sijui kama nitaonekana kama najipa umuhimu kwenye maisha ya mtu mwingine but hivyo ndivyo akili yangu imekuwa ikinisukuma. Kama jamii, tunaishi na watu wenye changamoto mbalimbali hivyo ni vyema kuonyeshana ukarimu ili kufanya kila mtu ayafurahie maisha haya mafupi tuliyonayo.
So, mimi napenda kumwambia ndugu yangu huduma za kifedha kuwa kila mmoja ameonja uchungu wa kikombe cha mahusiano. Tunachotofautiana ni kiasi cha maumivu tuliyoyapata na uwezo wa kuhimili na kufanya maamuzi ya kusimama tena na kusonga mbele. Kuna wanaopona haraka, wanaochelewa na kuna ambao huathiriwa sana kiasi cha maisha yao kuchukua njia mpya kabisa ambayo hawakuwahi kabisa kuifikiria.
Hivyo basi, japokuwa sijui sana kwa undani ni kipi hasa kilimtokea lakini napenda kumtakia kila lenye heri katika ulimwengu huo. Najua kuwa kadri muda unavyokwenda na unaona vitu havitokei inaweza kuamsha hisia za ku-panic hali inayoongeza uwezekano wa kufanya maamuzi yasiyo sahihi. Hivyo namuomba awe tu mtulivu ili aweze kuchakata kila aina ya taarifa inayokuja mbele yake kwa usahihi.
Kuna watu wanaweza kuhoji kwa nini nisingemtumia tu ujumbe binafsi. Ndiyo, ni jambo jema lakini naamini kuwa hayuko peke yake, kuna watu wengine ambao wanapitia hali anayopitia, hivyo ninachokisema kwake nakisema na kwao pia. Lakini pia mkuu financial services, samahani kama hautafurahishwa mimi kuanzia uzi huu kukuhusu, lakini nikuhakikishie kuwa lengo langu halikuwa baya.
Lakini kama pia labda nilichokisema siyo kile unachokipitia kwa maana ya pengine labda sikuelewa vyema nyuzi zako na comments zako ama ni stunts tu za jf kupiga soga kufanya muda usonge, pia kumradhi.
Uzi tayari...
Afu wewe ka Makavelli ni kaongo, una huo ubavu wa kumuonyesha mke conversation yako na watu wengine aah. Ukidundwa shauri yako na usinitaje😀Kaona msg yako kacheka saaana, 😂🤣
Anasema usichokijua ni usiku wa giza,
Namnukuu "njoo shost, tule raha za dunia"
Akaongeza, sio kwamba anakuitia shida la hasha, ni kwa sababu anakupenda sana ndio maana anataka kushare hizi raha na wewe.