Napenda kumwona Rais Samia akiongea, mtulivu ila kauli zenye mamlaka makubwa ndani yake

Napenda kumwona Rais Samia akiongea, mtulivu ila kauli zenye mamlaka makubwa ndani yake

Joined
Mar 10, 2025
Posts
57
Reaction score
57
Kila shetani na mbuyu wake, huyu Rais wangu mpendwa huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake, ni za utulivu, lugha rahisi kueleweka, hafokifoki ujumbe murua unatoa matumaini makubwa.

Nisipomsikia wiki 2 au kutojua yuko wapi naumia sana. Hotuba zake ni tamu kuzisikiliza, zimejaa mamlaka anayotoa kwa lugha laini anaofanya nao kazi wengi wameshamwelewa.

Ni mwanamke mwenye ngozi ngumu, huyu ni IRON LADY wetu Mungu ampe maisha marefu
 
Back
Top Bottom