Habari wana ndugu
Leo Nipo morogoro nipeni location za swimming.
Huwa napenda sana kuogelea, nina tabia nikifika mkoa wowote kama nitakuwapo kwa mda, huwa natafuta sehem za kuogelea.
Maana huwa napenda sana huu mchezo wa maji.
[emoji2112][emoji474][emoji2113] (to swim)