Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Kuna kitu una changanya, mchambuzi wa siasa akiamua kuchugua kipande fulani na kuki chambua siyo bias, inaitwa specialization ni sawa tuu, na unaweza kuchambua mambo ya Republican tuu ukawa biased kwa kuwa kuna Concervatives republicanism, moderate Republicanism na magroup mbali mbali kwa hiyo hata ukisema uchambue kitu kimoja avoid bias.Uchambuzi wa siasa una matawi mengi.Unaweza kuwa mchambuzi wa eneo moja tu mfano Marekani unaweza kutana na mchambuzi wa siasa aliyebobea wa siasa za Republican tu.Anakijua chama ndani nje.Si lazima mchambuzi wa siasa asiegemee kokote anachotakiwa ni kujua kwa undani hicho anachokichambua.Na mara nyingi si rahisi kuwakuta wachambuzi wasioegemea upande wowote sio rahisi kuwapata popote duniani.
Wachambuzi wasioengemea upande wowote mara nyingi huwa ni walimu au maprofesa ambao hufundisha masomo ya political science darasani sio kwenye public.Ukifundisha darasani huwi BIASED lazima usiwe na upande sababu watu wa itikadi zote za kisiasa unakuwa nao darasani.Ni kama kanisani au msikitini ukichambua kitabu cha dini hutakiwi kuegemea upande wa chama chochote cha siasa.
Cha msingi kijue vizuri hicho unachotaka kukichambua kisiasa
Kuna surrogets, huyu akichambua ni kusifia tuu kile anacho kipigia chepuo na kuna stratergist huyu ana chambua ki techniq na ana offer solution inayo egemea upande mmoja.
Kuna politocal analyst sasa huyu ndio hata akiwa ana chambua kipande kidogo tu ana jaribu kugusa kwa muono wa watu au theory mbali mbali.
Yaan anacho kifanya prof class ndio uchambuzi huo usio na bias.
@YEHOYADA