Napenda kuwa Mchambuzi wa masuala ya kisiasa

Kuna kitu una changanya, mchambuzi wa siasa akiamua kuchugua kipande fulani na kuki chambua siyo bias, inaitwa specialization ni sawa tuu, na unaweza kuchambua mambo ya Republican tuu ukawa biased kwa kuwa kuna Concervatives republicanism, moderate Republicanism na magroup mbali mbali kwa hiyo hata ukisema uchambue kitu kimoja avoid bias.

Kuna surrogets, huyu akichambua ni kusifia tuu kile anacho kipigia chepuo na kuna stratergist huyu ana chambua ki techniq na ana offer solution inayo egemea upande mmoja.
Kuna politocal analyst sasa huyu ndio hata akiwa ana chambua kipande kidogo tu ana jaribu kugusa kwa muono wa watu au theory mbali mbali.
Yaan anacho kifanya prof class ndio uchambuzi huo usio na bias.

@YEHOYADA
 
Kuwa mchambizi wa siasa kunahitaji ufuatiliaji wa habari mpya na za zamani kila siku, kusoma alama za muelekeo/upepo wa kisiasa na kikubwa uwe na uwezo wa ku-balance hoja. Ukiwa na chuki na chama chochote au mwanasiasa yeyote huyaweza kuwa mchambuzi mahili wa siasa.
 
Napenda kujifunza na kujua siasa sana ila kila nikiwasikiliza wanasiasa wenyewe wananichanga wadau naomba mnisaidie ni jinsi gani nitaelewa kuhusu siasa
 
Hakikisha una credit ya Chemistry na Comperative religion
 
Saf sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…