Ze Blessed
Senior Member
- Aug 12, 2012
- 123
- 13
Nashukuru xana kwa wale wote amba wame2tangulia kieliemu na wenye xperience na maisha ya chuo. Binafsi nimejifunza mengi xana kupitia hao watu kutokana na ushauri mzuri kupitia ushuhuda wao walipokuwa au wawapo chuoni, nashukuru kwa ww ulye2pa nasaha kuhusu yule jamaa wa mahafali, nakushukuru ww ulie2ambia kuwa ktambulisho chako ndo kila k2 kukujulsha uwanachuo baada ya kukutana na meng, nakushukuru ww pia ambae ume2weka waz kuhusu bumu na mpk sasa unalichukia. Natumai maushauri mazuri yalkua meng bt am a new member, bg up xana kwa hawa watu