Napenda mke wangu anisusie tukiwa faragha

To be honest manjonjo mengi nami sipendi, napenda mimi nikiimba yeye apokee kwa sauti ya kawaida na sio kupayuka.
Ninapokutana na ke mwenye fujo nyingi mzuka hukata mazima
Halafu wengi wakikuona unadata sana na manjonjo yao wanaanza kufikiria ku take advantage, kiufupi wengi ni wezi wezi!
 
Juzi hapa DeepPond alisema mnato siyo dili, leo tunaambia pia mwanamke anayejishugulisha kitandani anaboa meanwhile kuna mwingine alileta uzi akilalamika wanawake hawatoi ushirikiano wakati wa TENDO. Okay....

So which is WHICH? 'Hakika wanaume hawaelewekiiiii
 
Inabidi wanawake sasa hivi wawe km maroboti tu maana kila mmoja ana mahitaji yake, mwamba anataka kususiwa mwanamke asijishughulishe na chochote, wengine akitulia tuli bila kufanya chochote tunawaita magogo, wazee tuwahurumie hawa Dada zetu nao ni binadamu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahahah
 
Acha tu mkuu...

I think kuna haja ya kuanza kujua mwenzake anapendelea nini kwanza kupitia chats, ili ujue unaenda kujitutumua au kuwa gogo[emoji23].
 
Usiombe ukapata gogo mwenye aibu halafu anajua kuscream kudadadek unaweza vunja kiuono niwatamu hao.
Lakini unakuta demu analeta mautundu kitandani kama vandamme inaboa sana.
 
Back
Top Bottom