Napenda mno Kuwatania wana Yanga SC hapa JamiiForums, ila huu Utani wa Msemaji wao Ali Kamwe kwa Simba SC tuupokee tu kwani ni Ukweli mtupu

Napenda mno Kuwatania wana Yanga SC hapa JamiiForums, ila huu Utani wa Msemaji wao Ali Kamwe kwa Simba SC tuupokee tu kwani ni Ukweli mtupu

Genta jitu lenye akili nyingi spy mbobevu, jamàa tayark wameshaquote taarifa Yako ya wachezaji wa Simba kutokuwa na furaha na kocha na Baleke, rejea inst yanga Whatsapp makao makuu wamecopy taarifa yako bila kibali chako , genius jitu lenye akili nyingi bachelor aliyekubuhu kijana anayezeeka bila kutengeneza familia, degree holder asiyemiliki walau kavits,
Cc: Greatest Of All Time ukiambiwa GENTAMYCINE si wa Level yako na Sikukushinda kwa Kubahatisha katika Shindano la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums uwe Unakubali na nakuahidi Nitakushinda kila likiwepo labda niwe Nimekufa.

Kudadadeki.....!!

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
Back
Top Bottom