Napenda mwanamke akiwa na Handbag nzuri!

Mimi binafsi napenda handbag jamani, yani hata nivae rafu vipi lazima nibebe handbag nzuri...
siwezi kubeba pochi imechunika, nna ma Gucci,Ysl,Louisvuiton,Balenciaga,Fendi,Bvlgari zisizo na majina humo humo yani 👐 hela yangu inamalizwa na mikoba.
 
Mimi hupenda mwanamke anayejali kuwa na handbag nzuri
Je wewe??

Wewe nilichogundua unapenda tu handbag, kuwe na mtu ameibeba au laa. Huwezi kuniambia eti we ukikutana na mwanamke kitu cha kwanza unaanza kuangalia amebeba handbag gani...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…