Napenda sana kula mayai lakini sinenepi!

Napenda sana kula mayai lakini sinenepi!

Squidward

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Posts
7,828
Reaction score
9,546
Hodi!

Jamani kama kichwa cha habari kinavyosema kula mayai ya kienyeji kwa siku karibia tray ila bado sinenepi!

Je nafeli wapi jamani maana kila nikila yananikataa, je kuna hatari gani kiafya ntaipata? vipi nitumie njia ipi mbadala ya kuremove kimbaumbau?

Haya nakaribisha madokta na wasio madokta jukwaani.
 
Ridhika,nafsi ikitulia aaaah utajinenepea,lkn km kila siku roho juu,hata ule nn...
 
Tray nzima? Unatutania

Mayai kula kwa siku hutakiwi kuzidi 3
 
Tungo yako umezidisha chumvi! Trey?kwa siku?
 
Kitimoto kilo kwa siku ukishushia na bia nne kwa siku....mwezi tuu unatosha....baada ya hapo utakuja kuomba ushauri.....
 
Tray nzima? Unatutania

Mayai kula kwa siku hutakiwi kuzidi 3

ndo hivo mkuu, af nakuonaga jukwaa la mapishi heb nipe ushauri wa menu kuanzia asubuhi nile nini hadi usiku
 
Kitimoto kilo kwa siku ukishushia na bia nne kwa siku....mwezi tuu unatosha....baada ya hapo utakuja kuomba ushauri.....

hiyo kitimoto nshakula sana naona bado imedunda
 
Hiyo ni protini inachukuliwa kwa kiwango kinachohitajika na ziada inapotea kama reject kwenye misuli ama vinginevyo. Kula wanga kama unataka unene
 
ndo hivo mkuu, af nakuonaga jukwaa la mapishi heb nipe ushauri wa menu kuanzia asubuhi nile nini hadi usiku

acha fag,pombe kali,mayai pekee hayawezi,
kula ugali ,maharage na parachichi kwa wingi
 
kula kopo 2 za blueband kwa siku asubuhi nusu kilo jioni la kilo 1 utaniambia baada ya hapo
 
Je wajua unywaji wa chai ya rangi husababisha kuwa na roho mbaya kwa ile rangi kubaki kwenye moyo na kuwa mweusi..tofauti na unywaji wa chai ya maziwa ambayo hufanya moyo kuwa mweupe na kukufanya uwe na roho nzuri..fanya utafiti kunakonyweka chai ya rangi na maziwa..just kidding! Mkuu kunenepa kuna sababu nyingi kitaalamu..
 
Back
Top Bottom