Napenda sana kula pweza, ila wauza pweza wa Dar asilimia 99 ni Wachafu na wala hawajui usafi ni nini

Hii kero na mimi ndio ilinifanya niikatae supu ya pweza na pweza mwenyewe

Kila nikivuta picha bakuli nashea na wavuta sigara, wanywa pombe naishiwa na nguvu
 
Kwahiyo hawa wengine wanaotoa maoni juu ya bidha fulani, huwa wanalazimishwa kununua, ila siyo mbaya unajua hata umri unaongeza uweo wa fikra.
Kuondoa malumbano ndiyo maana nikakwambia kavue pweza baharini halafu ukapike mwenywe nyumbani kwako hapo tatizo lipo wapi?

Mim naona ww unashida kichwani unalazimishaje biashara ya mwenzio iwe safi?

Kama vp uza na ww pweza na michuzi yake halafu umaintain huo usafi unaoutaka wewe
 
Nunua kapike mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…