Napenda sana marafiki wahuni msaada tafadhari

Wakuu mimi nimekuwa mpenzi sana wa kupenda marafiki wahuni kwa kuwa nawaona sio wanafiki pia wanatoa msaada muda wowote utakao hitaji

Yani ukiwa muhuni nakukubali kichizi kuliko ukiwa brazameni kwa kuwa nawaona mabrazameni wengi wana urafiki wa mashaka

Msaada tafadhari wa kuondokana na idea hii

Nonsense.
 
Niga Do Niga Dont Talk Achana Na Wabana Pua Mwanaume Unatakiwa Kuwa Real Kwa Kila Kitu Mi Na Feel Washkaji Walio Real We Umewaita Wahuni Ule Sio Uhuni Yale Ndo Maisha Yenyewe Afu Ndo Yakuishi Mabrazamen Hashindwi Kuvaa Chupi Ya Dada Ake Au Kujipodoa Kutwa Umbea Nani Anataka.
 
Wahuni sio watu ukizingua lazima ukutane na balaa,,
 
ukiwa na urafiki na wansichana sanaa utakua na tabia za kike,utakua very soft na utaishia kugawa tigo,marafiki mabishoo niwanafiki na wambea sana wanapokuwa na madem(anaweza kumwambia demu mshkaji kavaa boxer ya rangi gani) hasa wakati anapoishiwa story akiwa na demu wanakua masnichi.wahuni ukiwa na shida ni rahisi kukusaidia,wana company nzuri wakati wowote na wako very open.rafiki zangu wote ni wahuni na sijawahi juta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mimi nimekuwa mpenzi sana wa kupenda marafiki wahuni kwa kuwa nawaona sio wanafiki pia wanatoa msaada muda wowote utakao hitaji

Yani ukiwa muhuni nakukubali kichizi kuliko ukiwa brazameni kwa kuwa nawaona mabrazameni wengi wana urafiki wa mashaka

Msaada tafadhari wa kuondokana na idea hii
Una mambo ya kitoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti kati ya mhuni na brother man ni nn

Back
Top Bottom