Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Binafsi napenda sana mvua. Kuna amani fulani huwa naisikia mvua ikiwa inanyesha. Hata ile harufu ya udongo mvua zinapoanza kwangu ni burudani kabisa. Nifahamu kuwa wanaopenda mvua wanaitwa fluviophile. Kuna watu wengine humu nao wanapenda mvua?