Napenda sana Utangazaji wa Habari wa Mtangazaji Harris Kapiga wa Clouds tv

Nasikia jamaa yupo kwenye kundi la Ladies &Gentlemen..... Watoto wa Sinza wengi wanajua hili.. Ni kweli lakn au.!?[emoji40]
 
Kwangu mimi huyu haris kapiga wa clouds na yule Gabriel Zacharia utangazaji wao haunivutii.... moyo huwa unaenda mbio sana situlii habari sielewi... Watanisamehe ila ndio hivyo....waache papara
Mimi Sam mahela. .....juma pili huwa napata shida sana. Huyo haris bora kumsikiliza kuliko kumtazama. .....japo kwangu baada ya kumuona tu hata kumsiliza siwezi tena

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Yaani sijui ndio boss Ruge alivyomfundisha, tatizo wasomaji wengi wa habari wanataka kumcopy Salim Kikeke bahati mbaya wanacopy vibaya
Hivi huyo Ruge jina lake kamili huwa ni boss Ruge au ....Maana hata watangazi wa kituo hicho humwita kama wewe.

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa kile kipind
Chake na yule me an ad as a
Skumbuk jina lake aisee


Kipind kilikua kinaenda vizr sana kinaitwa terminal
Cjui kama bado kipo

Af uliwah kuletwa uz hapa
Kuwa jamaa,n punga
 
Hivi huyo Ruge jina lake kamili huwa ni boss Ruge au ....Maana hata watangazi wa kituo hicho humwita kama wewe.

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Ndivyo wamuitavyo watangazaji wake

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hivi huyu ndo alifungua night club ya walokole? Iliishia wapi?
Nilimdharau kweli kwa hilo, uzuri Mungu aliona ikafeli mapema

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa ndio yule aliyeanzisha Night club (nadhani mnajua ndani ya night club kunafanyika nini ) ambayo anawaalika wasanii wa Gospel wanaenda kuburudisha wateja ????
Yaani mkuu kuna watu wanajipambanua kama Wakristo lakini matendo yao...!

Eti mtu kama huyu ni mchungaji.

Alafu Mtu Yeyote anapotuambia Ameokoka halafu anafanya kazi kwenye vyombo vya habari visivyo vya kidini nashindwa kumwelewa kwa sababu moja ya athari za hizi media ni kuharibu maadili ni sawa na kupingana na Imani yako! Mwenyewe!

Kuna wengine wako east Afrika radio nao wanajipambanua eti wameokoka kwenye vipindi vyao tu nyimbo wanaopiga ni sawa na disko.

Watu wamejaa unafiki wa kidini!

Nauliza usipouza dawa za kulevya hakuna shughuli nyingine itakayokulipa vizuri?

Sent from my using JamiiForums mobile ap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…