Napenda sana Utangazaji wa Habari wa Mtangazaji Harris Kapiga wa Clouds tv

Napenda sana Utangazaji wa Habari wa Mtangazaji Harris Kapiga wa Clouds tv

Yaani mkuu kuna watu wanajipambanua kama Wakristo lakini matendo yao...!

Eti mtu kama huyu ni mchungaji.

Alafu Mtu Yeyote anapotuambia Ameokoka halafu anafanya kazi kwenye vyombo vya habari visivyo vya kidini nashindwa kumwelewa kwa sababu moja ya athari za hizi media ni kuharibu maadili ni sawa na kupingana na Imani yako! Mwenyewe!

Kuna wengine wako east Afrika radio nao wanajipambanua eti wameokoka kwenye vipindi vyao tu nyimbo wanaopiga ni sawa na disko.

Watu wamejaa unafiki wa kidini!

Nauliza usipouza dawa za kulevya hakuna shughuli nyingine itakayokulipa vizuri?

Sent from my using JamiiForums mobile ap

Wazee wa fashooon
 
Huyo jamaa ni kilaza kweli kweli,taarifa yake ya habari ina boa kinoma!
 
Ananiachaga hoi tu anapoanza kutupa mikono hewani,halafu anasoma kwa kukatakata Sana maandishi, hadi habari inakosa mvuto, klauzi wanatufanyia makisudi tu, mbona kuna wale madada wanaflow vizur tu,
Nasisi atutaki wadada
 
Yuko vizuri saana na nyinyi wanaume kila mtu bwabwa mpoje nyinyi lakini
 
Babbie Kabaye huyu mdada me nampendaga mpaka naumwa jamani....oooh!
 
Babbie Kabaye huyu mdada me nampendaga mpaka naumwa jamani....oooh!

Tafuta tu Mwanamke mwingine usije ukajisababishia matatizo bure ukaja kuiona dunia mbaya na chungu vile vile. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Huyu jamaa ndio yule aliyeanzisha Night club (nadhani mnajua ndani ya night club kunafanyika nini ) ambayo anawaalika wasanii wa Gospel wanaenda kuburudisha wateja ????
mmmhhh!!!
 
sio yy tu kwao wavulana wote mambo safi bad enough,sijui luck enough na mwanae wa kiume ana mambo kama ya baba ake.hk anajuaa kunanganiaa akimpenda mtu balaaa muonenini tu vile..!
duh!! kwahiyo kwao wote ni mapunga zeze hadi baba yao !?
 
Back
Top Bottom