Napenda sana Utangazaji wa Habari wa Mtangazaji Harris Kapiga wa Clouds tv

Swali lako hapa mwishoni ni zuri sana. Labda utajibiwa humu Mkuu.
 
Bado watu wanshindwa tofautisha kati ya "kupenda" na kupenda, yaani kushindwa kuelewa maana ya ndani ya aliyeanzisha uzi
 
kile anachofanya Haris sio utangazaji, ni kama movie, badala ya kutupatia kile kilichojili, yeye huleta yaliyoko kichwani kwake na yale anayofikiri. lakini simlaumu, watangazaji wengi wa clouds tv wako hivyo, wana maneno ya kimbeaaa, wanaumba taarifa za habari, sio taarifa halisi ni imechakachuliwa kwa kuingiziwa maneno yasiyo na umuhimu kabisa. wajifunze kwa wenzao wanatangazaje. inakera hadi unabadilisha stesheni.
 
Nasikia jamaa yupo kwenye kundi la Ladies &Gentlemen..... Watoto wa Sinza wengi wanajua hili.. Ni kweli lakn au.!?[emoji40]

Hahaaaaa we utakua mkongwe wa Sinza.

Uhusiano wake na Mzee Mataka vipi?? Wana undugu?
 
Binafsi nikimkuta nabadili channel fasta ananikera sipendi anavyotangaza.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Nasikiaga eti huyu jamaa ni mambo safi.
sio yy tu kwao wavulana wote mambo safi bad enough,sijui luck enough na mwanae wa kiume ana mambo kama ya baba ake.hk anajuaa kunanganiaa akimpenda mtu balaaa muonenini tu vile..!
 
sio yy tu kwao wavulana wote mambo safi bad enough,sijui luck enough na mwanae wa kiume ana mambo kama ya baba ake.hk anajuaa kunanganiaa akimpenda mtu balaaa muonenini tu vile..!
Kiongozi unamaanisha nn huyu jamaa kumuita mambo safi mpaka vijana wengine wakiume wa kwao pia duuuu itakua huyu jamaa noma sana watu mnamfahamu kwa undani zaidi?
 
yaah yuko vizuri kwakweli.. mi napenda kwenye kile kipindi cha Terminal akiwa na lilian mwasha
 
Kiongozi unamaanisha nn huyu jamaa kumuita mambo safi mpaka vijana wengine wakiume wa kwao pia duuuu itakua huyu jamaa noma sana watu mnamfahamu kwa undani zaidi?
hahaha elewaa hivy hivyo mkuu wote mambo safi ushindwe ww tu
 
Moja ya sababu inayonifanya nisiangalie habar Clouds Tv ni huyu jamaaa....simwelewi kabisa mambo yake.aaaaagh
 
Sasa wote wakimuiga wakitangaza kama yeye itakuaje?? Wesema tuu unampenda ila sisi wengne tunaona hajui lolote anatumiada mwingi kusoma habara, kwamimi Namkubali Charles Hilar

sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Teh teh bora nimwangalie bwana STANLEY GANZEL akitangaza kuliko huyu muhenga

Sent from my SAMSUNG-SM-G920A using JamiiForums mobile app
 
Mkuu moja ya kitu kinachonivutia ni namna unavyotumia sanaa ya lugha kufikisha ujumbe

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Kwangu mimi huyu haris kapiga wa clouds na yule Gabriel Zacharia utangazaji wao haunivutii.... moyo huwa unaenda mbio sana situlii habari sielewi... Watanisamehe ila ndio hivyo....waache papara

Mkuu Umeondoa Stress Zangu Zoote Tangu Utotoni.
Nimekatika Maini Kwa Comment Yako.
Tungekuwa Na Watu Wote Kama Wewe Kwa Kweli Kifo Kingepigwa Ban.
You Have Made My Day To Infinite Euphoria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…