Napenda sana Utangazaji wa Habari wa Mtangazaji Harris Kapiga wa Clouds tv


Wazee wa fashooon
 
Huyo jamaa ni kilaza kweli kweli,taarifa yake ya habari ina boa kinoma!
 
Ananiachaga hoi tu anapoanza kutupa mikono hewani,halafu anasoma kwa kukatakata Sana maandishi, hadi habari inakosa mvuto, klauzi wanatufanyia makisudi tu, mbona kuna wale madada wanaflow vizur tu,
Nasisi atutaki wadada
 
Yuko vizuri saana na nyinyi wanaume kila mtu bwabwa mpoje nyinyi lakini
 
Babbie Kabaye huyu mdada me nampendaga mpaka naumwa jamani....oooh!
 
Babbie Kabaye huyu mdada me nampendaga mpaka naumwa jamani....oooh!

Tafuta tu Mwanamke mwingine usije ukajisababishia matatizo bure ukaja kuiona dunia mbaya na chungu vile vile. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Huyu jamaa ndio yule aliyeanzisha Night club (nadhani mnajua ndani ya night club kunafanyika nini ) ambayo anawaalika wasanii wa Gospel wanaenda kuburudisha wateja ????
mmmhhh!!!
 
sio yy tu kwao wavulana wote mambo safi bad enough,sijui luck enough na mwanae wa kiume ana mambo kama ya baba ake.hk anajuaa kunanganiaa akimpenda mtu balaaa muonenini tu vile..!
duh!! kwahiyo kwao wote ni mapunga zeze hadi baba yao !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…