GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Anatangaza huku anatabasamu na sometime anacheka cheka
- Anatangaza huku kila mara akiwa anachezea chezea Kalamu yake
- Anatangaza huku kila mara akiwa ' anachomekea ' maneno yasiyoendana na Habari husika
- Anatangaza huku sometimes akiwa ' anatuhubiria ' pengine akijua wengi wetu ' tunaomkodolea ' tuna dhambi za ' Kutukuka '.
- Anatangaza huku mara zingine akitupa ushauri nasaha
- Anatangaza huku mara zingine ' anatubinyia ' macho ' Watazamaji ' wake hali ambayo kiukweli hutuvitia sana hasa sisi ' Watazamaji ' wake wa Kiume.
- Anatangaza huku mara nyingi akiwasifu mno wale waliopo ' Madarakani ' wa Lumumba street na kuwaponda wale wa ' Biafra ' street.
Niwaombe tu ' Watangazaji ' wengine wote wa ' Luninga ' nchini Tanzania muweze ' Kumuiga ' huyu ' Mtangazaji ' mwenzenu Harris Kapiga.
Nawasilisha.