Napenda sana wanaume warefu weupe

amina
 
Mimi mrefu mweupe sex body mapack yakutosha balaa masharti use tayari kupima Ngoma pia nikusaminishe una hadhi ya kuwa na Mimi usikute MTU mwenyewe mbovu NB masharti na vigezo kuzingatiwa karibu.
 
Siku moja utakua na ukweli utaujuaaaa
 
Mm napenda sana wanawake weupe wembamba naa warefu .kama hana kizazi poa tu napenda pia
 
Naanza jimu nipate kifua weupe ninao ssema ufupi kama emoro hivi kumbe wafupi tunadhaulika sana eeeeh
 
mimi nina sifa na ntakupelek moshi
 
Mimi ni black ila still nawakubali my black men Shouts out to all my black niggaz all over the World!!!
 
Mi zamani nilikuwa mweusi kama pampu mpya ila sasa hivi nina weupe wa kitaulo unasemaje?
 
Mweupe legelege tafuta kitu cheusi kilichoenda hewani futi sits mpk 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…