Napenda sana wanaume warefu weupe

Napenda sana wanaume warefu weupe

Ukifikisha miaka 28 bado upo single hio chagua chagua itakwisha.hapo utakapoanza kua bibi utajitongozesha hataa kwa mbilikimo
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nmecheka sana
 
Hamia Arusha... Wamejaa kibao huko... Sasa wewe unakaa Kigoma asilimia tisini ya wanaume ni weusii tii na vishort dizaini ya Kafulila unategemea muujiza gani?
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaha haya bhana
 
Pole sn,,,izo ni dalili za kuwa una nguvu za Giza ndani yako, na iyo ni Tania za maroho ya kuzimu.
CHUKUA HATUA YA KUMRUDIA MUUMBA WAKO MAANA UNAKOELEKEA SIO KUZURI.

Nina kuombea sasa iyo ngv za Giza zilizokamata mwili wako """"Zikuachie sasa HV kwa damu ya Yesu Kristo. Kwa msaada zaidi fika knsn kwetu Hapa Tegeta kibo utaona "" HUDUMA YA MLIMA WA NEEMA"""" AU PGA simu : 0756400749
amina
 
Najikuta nachanganyiiwa nikikutana na wanaume weupe warefu
kwa baati mbaya sijawai tongozwa na wanaume hao

natongozwa na .......................... harafu sio ............................
😳😳😳😳kulia tuuuuuuu😳😳😳😳
mpo weupe humu kweli
wenye umbo kama hili,

images
Kilio chako nime kisikia upo tayar kutoa ushirikiano [emoji4] [emoji4]
 
Najikuta nachanganyiiwa nikikutana na wanaume weupe warefu
kwa baati mbaya sijawai tongozwa na wanaume hao

natongozwa na .......................... harafu sio ............................
😳😳😳😳kulia tuuuuuuu😳😳😳😳
mpo weupe humu kweli
wenye umbo kama hili,

images
kwa 33 years uliyo nayo haujawahi kupata hata mmoja, utampata lini sasa?
 
Najikuta nachanganyiiwa nikikutana na wanaume weupe warefu
kwa baati mbaya sijawai tongozwa na wanaume hao

natongozwa na .......................... harafu sio ............................
😳😳😳😳kulia tuuuuuuu😳😳😳😳
mpo weupe humu kweli
wenye umbo kama hili,

images
pole
 
Hahaaa tupoo karibu inbox
 
unawapata tu,but wengi hawana mtalimbo wana vipisi fulan ivi amazing au la sivo chembambaaa.mi nawapenda warefu weusi Afu wagumu fulan ivi,aisee hao kwenye shoo utawapenda.....wanakuwaga wagumu mpaka ndan.kitu kikishuka kinadunda tyuuuu
 
Najikuta nachanganyiiwa nikikutana na wanaume weupe warefu
kwa baati mbaya sijawai tongozwa na wanaume hao

natongozwa na .......................... harafu sio ............................
😳😳😳😳kulia tuuuuuuu😳😳😳😳
mpo weupe humu kweli
wenye umbo kama hili,

images
Tatizo wanawake huwa mmeshindwa kutafsiri uhalisia,ulefu au ufupi haulei au kumjari Mke.
Tabia njema ndiyo nguzo ya mume bora.
Wengi huwa mnaendelea kuzeeka bila kuolewa kwa kusubiri wanaume walefu,weupe ukishtuka una umri wa miaka 35 alafu hujampata mwanamume mlefu,mweupe.
Baada ya umri kupita mnaanza kujaza makanisa kwa wachungaji eti mnatafuta mume wa kuwaoa,wakati huo sasa wanaume wanakukimbia.Kwani mwanaume huwa anajiuliza miaka yote uliyonayo hadi karibu unazeeka hujaolewa lazima utakuwa na matatizo tu,kumbe wewe ulikuwa unatafuta mwanamume mlefu,maji ya kunde,ana mwili umejaa jaa kidogo,anasauti nzuri.Imeshakura kwako huwa mnaishia kuzalishwa tu kisha mnaendelea kulea watoto wasio na baba.
 
Back
Top Bottom