Napenda siku moja iwe hivi...


Bravo!
 
alafu napenda siku moja mods wote watuachie madaraka ya kuwapiga ban watu flan flan hivi!!! yaani hatuangalii wewe ni mod wala nani
 

Ningependa kama mitandao ya kijamii itumike kuchart mambo ya KIMUNGU NA KIMAENDELEO.
Ningependa vijana wengi watanzania wa jishuhulishe na waache kutegemea serekali juu ya upatikanikaji wa ajira
 
ningependa holidays ziongozane kiasi cha mwezi hivi no job, tunalala
 
Siku moja MwanaAsha apate div I ya 7!!
MAPROSOO.
 
napenda siku moja iwe hivi:
kila ukikanyaga ardhi yenye mmiliki...mguu ukwamie hapo hapo...mngekomaje?
 
Napenda siku moja nijue jinsia halisi ya Kongosho....
 
Napenda siku moja niwe na uwezo wa kusikia mtu anachowaza kichwani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…